“Umejua Kunifurahisha” - Joel Lwaga

Umejua Kunifurahisha - Joel Lwaga

➧Joel Lwaga


Plays : 803
Downloads : 445
Album (All Songs) : Umejua Kunifurahisha

Like us on Facebook:

“Umejua Kunifurahisha” Lyrics

Baba, umejua kunifurahisha
Baba aah! umenifuta machozi
Daddy oh! umejua kunifurahisha
Baba aah, nitakusifu milele
Baba...
Baba, (baba) umejua kunifurahisha
Baba (baba) umenifuta machozi
Daddy oh, (daddy) umejua kunifurahisha
Baba aah, nitakusifu milele
Uhm...!
Umerudisha tabasamu langu usoni,
Umerejesha na furaha yangu moyoni,
Umenijibu kwa wakati nisiyodhani (yeah)!
Baba, umejua kunifurahisha
Niliyeitwa laana, Nimefanyika baraka
Niliyeonekana sifai, Umeniheshimisha
Umenipa sababu ya kujidai na kukutukuza aah.
Baba, umejua kunifurahisha
Hey baba!
Baba... (Baba) umejua kunifurahisha (baba yangu baba)
Baba umenifuta machozi
(Kweli Daddy ooh...)
Daddy oh, (daddy) umejua kunifurahisha
Baba (baba) nitakusifu milele
Baba Yangu baba, Yesu wewe
Baba umejua kunifurahisha
Baba umenifuta machozi (umeondoa aibu yangu)
Daddy ooh... Daddy oh, (daddy) umejua kunifurahisha
(Eeih baba) Baba nitakusifu milele.
Father to the fatherless!
Look at what you've done for me
You've done for me!
You wiped the tears from my eyes, Lord!
Look what you've done for me eeh!
The chains and shackles that held me bound, You have cut it all away
Oh what a life! the beautiful life you 've given me
Baba umejua kunifurahisha
Baba nitakusifu milele
Ooooooh!!
Baba umejua kunifurahisha (baba)!
Baba umenifuta machozi (daddy ooh)!
Daddy oh, umejua kunifurahisha (oooh! baba)
Baba nitakusifu milele
Baba umejua kunifurahisha (you've turned my life around),
Baba umenifuta machozi
Daddy oh, umejua kunifurahisha
(Baba baba baba)
Baba nitakusifu milele.
Eey! umejua kunifurahisha (Baba... oooho)
Baba Umejua kunifurahisha (Baba... oohho)
My mother couldn't do it, my father couldn't do it (baba... oohho)
You dig me out from the other way,
Daddy ooh, umejua kunifurahisa
And you set my feet on the ground to stand (baba... Oooho)
Kweli umeondoa aibu yangu baba. (Baba. ooohh)
Umenifuta machozi yangu, Jesus!
Eei! Daddy oh, (daddy) umejua kunifurahisha
Amani yako imenihifadhi baba
(Baba... Oohho...)
Kweli umejua kunifurahisha
(Baba... Oohho)
Oooh ooh oooh! (Baba... ooh) Baba!!
Daddy ooooh (Daddy) Umejua kunifurahisha
Hallelu... Hallelujah.